MUNGU ANA MAWAZO MEMA JUU YETU, AMINI KATIKA KUOMBA KWAKO

 Mungu ahitaji kalenda ya siku au masiku, mwezi au miezi, mwaka au miaka ili kukuinua au kukufanikisha katika mambo yako, sekunde moja kwake inatosha kubadilisha maisha yako kabisa, kama ni hivyo usijikatie tamaa eti kwasababu mwaka unaenda mbio miezi imepita huna kitu, na hakuna jambo ulilolifanikisha, nasema hivi sekunde hii unayopumua sasa Mungu anao uwezo wa kuishangaza dunia kupitia wewe, ENDELEA KUJIPA MATUMAINI, kamwe usiruhusu moyo wako KUKATA TAMAA 

Comments